SHINDA SAMSUNG A32 NA BONASI KIBAO UKIWA NA MERIDIANBET | ZamotoHabari

MERIDIANBET linapokuja suala la kuwajali wateja wao basi wanakuwa ni namba moja hapa Tanzania. Na hii ni kwasababu ya zawadi mbalimbali wanazozitoa huku safari hii wakija na Samsung A32 na bonasi ya kasino.

Mechi zikiwa zimesimama, Meridianbet wamekuja na promosheni ya uhakika ambayo mteja atajipatia simu kali kabisa yani mpya pia atapata bonasi ambayo ataitumia kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni.

Unatakiwa kuwa mtumiaji wa Halopesa ili kuweza kushiriki promosheni hii huku washiriki kibao watashindania kupata simu na bonasi nono kabla ya ligi kuanza.

Pia kumbuka si promosheni tuu ambayo itakupa bonasi lakini ukiendelea kutumia Meridianbet kufanya ubashiri kwa mechi mbalimbali zilizopo unaweza kujishindia pesa kibao.

Michezo hiyo ina ODDS KUBWA, machaguo zaidi ya 1000, michezo kibao mubashara pia unaweza kubeti, na iliyopo. Ingia www.meridianbet.co.tz.

NB Kadri unavyoweka pesa mara nyingi, ndivyo unavyopata nafasi nyingi za kushinda baadhi ya zawadi.

Siku zote ukitaka kuwa bingwa lazima ujue neno “Hakuna kukata Tamaa” na hapo ndipo uthubutu wa kukazana kuendelea kucheza kasino ya mtandaoni itaendelea kuwa juu.

Usikose kuweka pesa yako kupitia mtandao wa Halotel na ucheze michezo kibao itolewayo na meridianbet uwe bingwa kabla ya promosheni hii kuisha siku ya tarehe 15.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE
Ipo michezo mbalimbali ya kasino ambayo itakuwezesha kucheza michezo mbalimbali ya kasino kama Wild Icy Fruits, Keno, Pia Premium na mingine ambayo inaweza kutimiza ndoto zako za muda mrefu.

Vigezo na Masharti ya promosheni hii,
- Zingatia muda uliopangawa kama unataka kuwa mshindi ambapo mwisho ni tarehe 15 mwezi huu.

- Tiketi za ubashiri wa michezo, lazima ziwe na matokeo siku hiyo hiyo ya kuweka pesa ili kustahili kupata bonasi.

- Turbo cash na mfumo na tiketi za mfumo hazitastahili kupata bonasi.

- Kumbuka kuwa Meridianbet ina haki ya kubadili sheria au kusitisha promosheni wakati wowote.

- Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Hivyo mteja wa Meridianbet unaetumia mtandao wa HALOTEL hakikisha unasoma vizuri na kufata maelezo na masharti yote ya promosheni hii uwe na nafasi nzuri ya kuwa mshindi wa Samsung A32.



Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini