Ligi ya Kikapu Dar es Salaam yamalizika | ZamotoHabari

Mashindano ya Ligi ya mpira wa kikapu mkoa wa Dar es Salaam yamemalizika usiku huu kwa mchezo uliozikitanisha timu za Dar City na JKT ambapo timu ya Dar City wameibuka kinara kwa ushindi mnono wa point 68 kwa 60 katika mchezo uliopigwa kwenye kiwanja cha Don Bosco, jijini Dar es salaam. Kwa upande wa wanawake mabingwa ni Vijana Queens






Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini