SIMBA SC YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA AL AHLY, YAPOKEA KIPIGO 1-0 | ZamotoHabari

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV

KLABU ya Simba imeshindwa kutamba kwenye uwanja wake wa nyumbani mara baada ya kukubali kupokea kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Al Ahly.

Katika mchezo huo wa mkondo wa kwanza Al Ahly walifanikiwa kupata bao la Mapema kupitia kwa Ahmed Kouka dakika ya 4 ya mchezo kipindi cha kwanza.

Timu hizo zitarudiana Aprili 5, 2024 ambapo Al Ahly kwenye mchezo huo atakuwa nyumbani mjini Cairo




Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini