ALI BABA na kaka yake mkubwa, Cassim ni watoto wa mfanyabiashara. Baada ya kifo cha baba yao, Cassim mwenye tamaa alioa mwanamke tajiri na kuwa na mali nyingi kwa kuendeleza biashara ya baba yao. Ali Baba alioa mwanamke maskini na kujiingiza katika biashara ya kukata kuni. Soma kisa hiki kilichotengenezewa mchezo wa kasino ya Mtandaoni uliopo Meridianbet unaokupa ushindi kupitia mistari 20.
Siku moja, Ali Baba akiwa anakata kuni msituni, aliona kundi la wezi 40 wakienda kuangalia hazina yao iliyowekwa kwenye pango lililopo mlimani, baadae wezi waliondoka, Ali Baba akaingia pangoni mwenyewe na kuchukua mfuko mmoja wa sarafu za dhahabu uliofichwa na na kutokomea nao.
Baada ya kufika nyumbani kwake, Ali Baba na mkewe waliazima mizani ya shemeji yake kwa ajili ya kupima mali yao mpya. Bila kujua, mke wa Cassim akaweka kipande cha nta kwenye mizani kujua Ali Baba anaitumia kupimia nini, alikuwa na shauku ya kujua aina gani ya nafaka anahitaji kuhesabu ndugu yake maskini.
Kwa mshangao wake, anagundua sarafu ya dhahabu inakwama kwenye mizani na kumwambia mumewe. Chini ya shinikizo la ndugu yake, Ali Baba analazimika kufichua siri ya pango. Cassim anaenda kwenye pango, ili akachukue hazina kadiri awezavyo. Cheza kasino ya mtandaoni kadri uwezavyo ili uwe moja kati ya washindi wa kila siku.
Cassim anaingia pangoni kwa maneno ya kichawi hata hivyo, kwa tamaa na hamu yake juu ya hazina, anasahau maneno ya kutokea nje na kujikuta amezuiwa. Wezi wanamkuta hapo na kumuua. Muda mfupi baada ya ndugu yake kutorudi, Ali Baba anaenda kwenye pango kumtafuta na kukuta mwili umegawanywa vipande na kuwekwa karibu na sehemu ya kuingilia kwenye pango, kama onyo kwa mtu yeyote mwingine anayeweza kujaribu kuingia.
Ali Baba anarudisha mwili nyumbani ambapo anamkabidhi Morgiana, msichana mwerevu kwenye nyumba ya Cassim, kazi ya kufanya watu wengine waamini kwamba Cassim amekufa kwa kawaida. Kwanza, Morgiana alienda kununua dawa kusingizia kwamba Cassim ni mgonjwa sana. Kisha, anamtafuta mtengeneza nguo mzee anayejulikana kama Baba Mustafa ambaye anamlipa, anamfunika macho, na kumpeleka nyumbani kwa Cassim.
Yote haya yanafanyika usiku kucha, fundi wa nguo anashona vipande vya mwili wa Cassim pamoja. Na sasa Ali Baba na familia yake wanaweza kumfanyia Cassim maziko sahihi bila mtu yeyote kuwa na shaka. Ali Babas Bounty ni bonge moja la mchezo wa sloti utakaoufurahia na huwezi kujutia pesa zako kwenye kasino ya mtandaoni.
Upande wa kule kwa Wezi, waligundua mwili umetoweka, walihisi kuna mtu mwingine lazima amejua siri yao, kwa hiyo waenda kumtafuta. Mmoja wa wezi anashuka mpaka mjini na kukutana na Baba Mustafa, ambaye anataja kwamba ameunganisha vipande vya mwili pamoja. Mwizi anamwomba Baba Mustafa kuongoza njia kwenye nyumba ambapo kitendo kilifanyika. Fundi huyo anafungwa macho tena, na katika hali hiyo anaweza kurudia hatua zake na kufika kwenye hiyo nyumba.
Mwizi anauchora mlango kwa ishara ili wezi wengine waweze kurudi usiku na kuua kila mtu ndani ya nyumba. kwa bahati mbaya au nzuri, mwizi yule alionekana na Morgiana ambaye ni binti mwaminifu kwa bwana wake, anaharibu mpango wa mwizi kwa kuchora alama kama hizo kwenye nyumba zote za jirani. Wezi 40 walirudi usiku huo, hawawezi kutambua nyumba sahihi, na kiongozi wao kwa hasira kali anamuua mwizi aliyewadanganya wenzake.
Siku inayofuata, mwizi mwingine anamtembelea Baba Mustafa na kujaribu tena. Lakini safari hii, kipande cha jiwe kinaondolewa kwenye mlango wa mbele wa Ali Baba. Kwa mara nyingine tena, Morgiana anazima mpango kwa kuondoa vipande kama hivyo kwenye milango yote mingine, na mwizi wa pili anakufa kwa kutofaulu kwake pia. Hatimaye, kiongozi wa wezi anajiandaa kuingia kazini mwenyewe. Mara hii, anakumbuka kila maelezo anayoweza ya nje ya nyumba ya Ali Baba.
Kiongozi wa wezi anajifanya kuwa mfanyabiashara wa mafuta anayehitaji ukarimu wa Ali Baba, akaleta punda wakiwa na mapipa 38, moja imejazwa mafuta, mengine 37 yakiwaficha wezi wengine waliobaki.
Ali Baba alipopitiwa usingizi, wezi wanapanga kumuua. Lakini Morgiana anagundua na kuharibu mpango wakati taa yake ilipokwisha mafuta na kuhitaji kuongeza mafuta kutoka mapipa ya mfanyabiashara, wezi wengine wakaanza kujitambulisha wenyewe mmoja baada ya mwingine wakisikia akiwasogelea na kumdhania kuwa ni mwajiri wao.
Baada ya kujaza mafuta taa yake, Morgiana anaua wezi 37 waliomo kwenye viriba kwa kumwagilia mafuta ya moto mmoja baada ya mwingine. Kiongozi wao alipokuja kuamsha wenzake, anagundua wote wamekufa hivyo aliamua kutoroka. Asubuhi inayofuata, Morgiana anamwambia Ali Baba kuhusu wezi waliofichwa kwenye mapipa. Wanawazika, na Ali Baba anaonyesha shukrani yake kwa kumpa Morgiana uhuru wake. Walakini, anaendelea kuishi na Ali Baba na familia yake.
Aliamua kurudi tena kufanya jaribio lake la kulipiza kisasi, kiongozi wa wezi anajifanya kuwa mfanyabiashara, anaanzisha urafiki na mtoto wa Ali Baba (ambaye sasa anasimamia biashara ya marehemu Cassim), na anakaribishwa chakula nyumbani kwa Ali Baba. Safari hii tena mwizi anatambuliwa na Morgiana, ambaye anafanya densi ya upanga na kisu kwa wageni na kisha kumchoma mwizi kwenye moyo, wakati akiwa hana tahadhari.
Ali Baba alikasirika kwa kitendo kile cha mauaji kilichofanywa na Morgiana, lakini anapogundua yule alikuwa ndiyo kiongozi wa wale wezi na alitaka kumuua, anaamua kumshukuru sana na kumtunuku Morgiana kuolewa na mwanae. Ali Baba basi anabaki kama mtu pekee anayejua siri ya hazina kwenye pango na jinsi ya kulifikia.
Ali Baba's Bounty hii ni sloti inayopatikana Meridianbet kasino ya mtandaoni, ni rahisi kuicheza na kushinda, jisajili hapa kama hauna akaunti kisha cheza kwa dau kubwa ili ushinde mkwanja mrefu zaidi.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA
0 Comments