HATIMAYE Jumamosi ya leo ndio hiyo na mechi mbalimbali Duniani zinaendelea kwa michezo kibao kuanzia pale Epl, Laliga, Ligi kuu ya Tanzana na nyingine kibao. Unasubiri nini?. Weka jamvi lako na ubashiri hapa.
Tukianza na ligi kuu ya Uingereza, EPL leo Brentford atakipiga dhidi ya Sheffield United ambao ndio vibonde wa ligi hadi sasa. Vijana wa Thomas Frank wapo nafasi ya 15 kwenye ligi huku nafasi ya kushinda meridianbet akipewa Nyuki kwa ODDS 1.37 kwa 7.05. Mara ya mwisho kukutana Sheffield alishinda. Je leo hii mwenyeji atalipa kisasi? Beti hapa.
Nao Burnley watakuwa wenyeji wa Brighton ya Roberto De Zerbi katika dimba la Turf Moor ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 24. Vijana wa Kompany wapo nafasi ya 19 huku leo hii wakihitaji ushindi wa namna yoyote ile. Je watweza kushinda mbele ya De Zerbi. Mechi hii imepewa ODDS 3.47 kwa 1.99. Jisajili hapa.
Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.
Bingwa mtetezi wa ligi, Manchester City atakuwa Etihad kumenyana dhidi ya Luton Town na ushindi wa leo utamfanya Pep aongoze ligi. Mara ya mwisho kukutana, City alishinda, huku leo hii kushinda amepewa ODDS 1.10 kwa 19.60. Je Pep ataendeleza ubabe wake na leo?. Suka mkeka wako sasa.
Saa 1:30 usiku Bournemouth watawaalika Manchester United ya Ten Hag ambao wametoka kutoa sare mchezo uliopita, huku wenyeji wao wakipoteza mechi yao iliyopita. Mechi ya kwanza walipoonana United walipoteza. Je leo hii Mashetani Wekundu watalipa kisasi? Mechi hii imepewa ODDS 2.35 kwa 2.65. Tengeneza jamvi lako hapa.
Tukiachana na ligi hiyo ya Uingereza, Pia LALIGA kule Hispania kitawaka sana na mechi ya mapema kabisa ni hii ya Atletico Madrid dhidi ya Girona ambapo timu hizi zinafatana kwenye msimamo wa ligi. Atletico yupo nafasi ya 4 akiwa na pointi zake 58 na mgeni wake akiwa na 65. Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda Simeone na vijana wake kwa ODDS 1.92 kwa 3.62. Nani atashinda. Beti na meridianbet.
Saa 1:30 usiku vinara wa ligi Real Madrid chini ya Carlo Ancelotti wakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Mallorca ambao wapo nafasi ya 15 kwenye ligi. Mara ya mwisho walipokutana, Real alishinda. Je leo hii kwa ODDS ya 1.71 kwa 5.09 anaweza kushinda?. Suka jamvi sasa.
Huku majira ya saa 4:00 Cadiz uso kwa uso dhidi ya Barcelona ambao wanashika nafasi ya 2 kwenye ligi. Mwenyeji yeye hali ni mbaya yupo nafasi ya 18 na mara za mwisho walipigika walipokutana na Wakatalunya hawa. 1.88 kwa 4.01 ndio ODDS za timu hizi. Ingia meridianbet na ubeti sasa.
SERIE A, kama kawaida ni kivumbi leo Empoli ugenini dhidi ya Lecce ambaye yupo nafasi ya 14 kwenye ligi. Mgeni ni wa 16 kwenye ligi huku akipewa nafasi ndogo ya kushinda kwa ODDS 3.62 kwa 2.20. Tofauti ya pointi kati yao ni 1 pekee. Je nani ataondoka na ushindi leo hii?
Juventus atasafiri kupepetana dhidi ya Torino ambao walipoteza mechi yao iliyopita, hivyo leo watakuwa nyumbani kusaka ushindi kwa hali na mali. Allegri ameshinda mechi yake iliyopita na leo hii ana ODDS 2.22 kushinda mechi hii kwa 3.67. Je atashinda?. Bashiri sasa.
Mechi ya mwisho leo Italia ni kati ya Bologna dhidi ya AC Monza ambapo tofauti za pointi kati yao ni 16 tuu. Mwenyeji yupo nafasi ya 4 na mgeni wake yupo nafasi ya 11. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 meridianbet. Jisajili hapa.
Pia ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA itaendelea hii leo kwa mechi kibao lakini mechi za pesa hizi hapa Bayern Munich atakuwa Allianz Arena kucheza dhidi ya FC Cologne ambao wapo chini kwenye msimamo wa ligi. Thomas Tuchel na vijana wake wametoka kupoteza mechi iliyopita. Je leo hii kwa ODDS ya 1.19 kwa 11.76. Bashiri sasa.
Borussia Monchengladbach atakuwa mwenyeji wa Borussia Dortmund ambao wapo nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi. Tofauti ya pointi kati yao ni 22 huku mechi ya mwisho walipokutana, Dortmund alishinda. Je leo hii mwenyeji atalipa kisasi?. Beti na meridianbet.
Mechi nyingine ni ya RB Leipzig dhidi ya Wolfsburg ambao wamepewa nafasi ndogo sana kushinda mechi hii wakipewa ODDS 8.03 kwa 1.32. RB wappo nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi. Je nani kuondoka na pointi tatu pale Red Bull Arena?
Saa 1:30 usiku VFB Stuttgart ambao wapo vizuri msimu huu wakishika nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi watakiwasha dhidi ya Eintracht Frankfurt ambao wapo nafasi ya 6 kwenye msimamo. Mechi ya mwisho kuonana Stuttgart walishinda. Je leo hii nani kuondoka kidedea?. Beti sasa.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA
0 Comments