JUMAMOSI ya kutafuta mkwanja mrefu ndio imefika hivyo, basi ndugu mteja wa Meridianbet nakwambia hivi tengeneza jamvi lako la ushindi leo uibuke Milionea sasa.
Kama kawaida ligi pendwa Duniani, EPL kuna mechi kibao zitakazopigwa tukianza na mchezo wa mapema kabisa Manchester United atakuwa ugenini dhidi ya Brighton. Timu zote zimetoka kushinda mechi zao za kwanza ambapo mara ya mwisho kukutana Ten Hag na vijana wake walishinda. Je leo hii Brighton watalipa kisasi kwa ODDS ya 2.39 kwa 2.69?. Suka jamvi hapa.
Crystal Palace baada ya kupoteza mchezo uliopita leo hii atakuwa pale Selhurst Pakr kutafuta pointi 3 za kwanza dhidi ya West Ham United ambaye alipoteza pia mchezo wa kwanza. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda Palace akiwa na ODDS 1.96 kwa 3.57. Beti yako unaiweka wapi kwenye timu hizi mbili?. Bashiri sasa.
Leo ni siku ya kuvuna na Meridianbet mechi kibao za moakoto zipo. Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Nao mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uingereza Manchester City baada ya kushinda mchezo uliopita ugenini, leo hii watakuwa Etihad kusaka pointi 3 zingine dhidi ya Ipswich iliyopanda daraja. Mgeni ametoka kupoteza mchezo wake uliopita hivyo leo anataka ushindi. Je ataweza mbele za vijana wa Pep Guardiola? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Tengeneza jmavi hapa.
Huku Tottenham Hot Spurs baada ya kutoa sare mchezo wake uliopita ataumana dhidi ya Everton ambao hawapewi nafasi ya kushinda leo wakiwa na ODDS 6.66 kwa 1.39. Ange na vijana wake wamazitaka alama tatu leo dhidi ya Toffees. Jisajili hapa.
Na mechi kali Jumamosi hii ni ya Aston Villa dhidi ya Arsenal majira ya saa 1:30 usiku ambapo mara ya mwisho kukutana The Gunners walipoteza. Villa chini ya Unai Emiry ni timu mojawapo ambayo ilimnyima Arteta Ubingwa. Je leo Washika Mitutu hao wa LOndon watafanya nini?. Mechi hii imepewa ODDS 4.60 kwa mwenyeji na 1.71 kwa mgeni. Bashiri na Meridianbet.
Vilevile Jumamosi ya Leo LALIGA kitawaka ambapo mapema saa 12:00 jioni Osasuna atamualika Mallorca ambapo timu zote zimetoa kutoa sare kwenye mechi zao zilizopita. Mechi hiyo itapigwa katika dimba la El Sadar huku mzigo wa mechi hii ukiwa ni 2.45 kwa 3.09. Jisajili na ubeti hapa.
FC Barcelona chini ya Hansi Flick watakipiga dhidi ya Athletic Bilbao ambao walishindwa kushinda mechi yao iliyopita. 1.62 na 4.90 ndio ODDS za mechi hii. Ingia na ubashiri sasa ambapo kumbukumbu zinasema kuwa mchezo wa mwisho walitoka suluhu.
Real Sociedad ugenini dhidi ya Espanyol Barcelona amajira ya saa 4:30 usiku. Timu zote zinataka kushinda leo baada ya kupigika mechi zao zilizopita. Meridianbet wamempa Sociedad nafasi ya kushinda leo wakiwa na ODDS 2.12 kwa 3.72. Beti kijanja hapa.
Usisahau kusuka jamvi mechi za Ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1 ambapo Lyon atakuwa na kibarua cha kumfunga AS Monaco baada ya kupigika mechi iliyopita. Mgeni ametoka kuhsinda mechi yake ya kwanza huku ODDS za mechi hii zikiwa zimeshiba haswa yaani ni 2.50 kwa 2.55. Ingia na ubashiri sasa.
Nao Lille watakuwa na kibarua cha kuwafunga Angers leo baada ya kushinda mchezo wao uliopita. Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.32 kwa 9.40. Wewe beti yako unaiweka wapi kwenye timu hizi mbili?. Suka mkeka wako hapa.
Kama kawaida SERIE A kutakuwa mechi za pesa AC Milan baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, leo atakuwa ugenini dhidi ya Parma ambaye amepanda ligi msimu huu. Mwenyeji amepoteza mechi yake ya kwanza . Je Paolo Fonseca na vijana wake watafanya nini leo hii? 4.90 na 1.62 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri kijanja sasa.
Udinese atamenyana dhidi ya Lazio Rome ambaye alishinda mechi yake ya kwanza. Mara ya mwisho kukutana mwenyeji alishinda. Mabingwa wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wameweka ODDS 3.33 na 2.29 mechi hii. Jisajili sasa.
Saa 4:45 usiku bingwa mtetezi Inter Milan atakipiga dhidi ya US Lecce ambaye alipoteza mechi yake iliyopita. Inzaghi na vijana wake walitoa sare dakika za jioni kabisa huku Meridianbet wakiwapa nafasi ya kushinda leo kwa ODDS 1.18 kwa 14.7. Bashiri mechi hii sasa mbayo itapigwa katika dimba la Giussepe Meazza.
Kule Ujerumani, BUNDESLIGA nayo baada ya kuanza jana leo sasa kuna mechi za kukupa pesa Augsburg atamenyana dhidi ya Werder Bremen katika dimba la WWW Arena. Msimu uliopita Augsburg alipoteza mechi zote walipokutana. Je leo hii anaweza kuanza kulipa kisasi?. Beti mechi hii ambayo ina machaguo zaidi ya 1000,
Nao RB Leipzig watapepetana dhidi ya VFL Bochum ambao hawana nafasi ya kushinda mechi hii ndani ya Meridianbet kwani wamepewa ODDS 11.76 kwa 1.19. Mechi hiyo itapigwa katika dimba la Red Bull Arena ambapo mechi ya mwisho kukutana, RB alishinda. Beti sasa.
Nao SC Freiburg ataumana dhidi ya VFB Stuttgart ambaye alikuwa na msimu mzuri uliopita akimaliza nafasi ya 2 kwenye ligi. Wakati mwenyeji wake akimaliza nafasi ya 10 na mara za mwisho wlaipokutana, VFB aliondoka na ushindi. Mechi hii imepewa ODDS 3.43 kwa 2.03. Suka jamvi lako sasa.
Vilevile Borussia Dortmund atakuwa na kibarua cha kuchukua pointi tatu dhidi ya Frankfurt katika dimba la Signal Iduna Park majira ya saa 1:30 usiku. Mechi ya mwisho kukutana, Borussia lishinda na leo hii anapewa nafasi ya kushinda kwa ODDS 1.71 kwa 4.21. Beti sasa.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA
0 Comments