BETI NA MERIDIANBET SIKU YA LEO | ZamotoHabari


BAADA ya jana kushuhudia mechi kibao zikipigwa, leo hii nako pesa ipo nje nje yaani ni wewe tuuh ushindwe kupata ushindi leo. Ingia kwenye akaumti yako na ushinde leo.

Ligi pendwa duniani, EPL kuna mechi tatu za hela leo ambapo Manchester United atakuwa ugenini dhidi ya Aston Villa ya Unai Emery. Villa ametoka kutao sare mechi yake iliyopita huku United ya Ten Hag wakipoteza mechi yao. Mara ya mwisho kuonana United alishinda. Je leo hii Villa anaweza kulipa kisasi nyumbani?. Mechi hii ina ODDS 2.30 kwa 2.74. Bashiri sasa.

Noa Chelsea ambao wameshinda mechi 3 mfululizo za ligi leo hii watakuwa Stamford Bridge kuchuana na Nottingham Forest ambao walipoteza mchezo uliopita nyumbani. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda The Blues kwa ODDS 1.49 kwa 5.88. Je wewe beti yako unampa nani leo?. Jisajili hapa.

Jumapili ya kibingwa ni hii ya leo, ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Mechi ya mwisho Uingereza leo itakuwa majira ya saa 12:30 jioni ambapo Brighton atakuwa mwenyeji wa Tottenham Spurs ya Ange ambapo tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni moja pekee. Mechi ya mwisho kukutana Spurs alishinda. Mechi hii ina ODDS 2.74 kwa 2.30. Bashiri sasa.

LA LIGA nayo kama kawaida kuna maokoto ya kutosha ambapo FC Barcelona takuwa mgeni wa Deportivo Alaves ambaye hapewi nafasi ya kushinda mechi ya leo. Ndani ya Meridianbet ana ODDS 4.70 kwa 1.63. Barca chini ya Hans Flick wanahitaji ushindi leo ili wazidi kujikita kileleni. Je mwenyeji anaweza kumzuia kushinda?. Tandika jamvi lako hapa.

Saa moja usiku Sevilla badaa ya kutoa sare atakipiga dhidi ya Real Betis ambaye alishinda mechi yake iliyopita. Timu hizi zimetofautiana pointi tatu pekee huku mechi mbili za msimu uliopita zote walitoa sare. Beti mechi hii yenye ODDS 2.55 kwa 2.84. Bashiri sasa.

Mechi ya kumalizia Jumapili huku Hispania itakuwa ni hii ya Real Sociedad vs Atletico Madrid ya Diego Simeone. Sociedad anashika nafasi ya 15 kwenye ligi huku akiwa amepitwa pointi 8 na Atletico, lakini Meridianbet wameipa mechi hii odds kubwa yaani ni 2.79 kwa 2.69. Suka jamvi lako hapa.

Vilevile Ligi kuu ya Italia, SERIE A itaendelea Lazio atakuwa uso kwa uso dhidi ya Empoli. Timu hizi zinafatana kwenye msimamo wa ligi huku zote zikiwa na pointi 10. Mwenyeji ametoka kushinda mechi yake iliyopita wakati mgeni yeye akitoa sare. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Tengeneza jamvi hapa.

Nao AS Roma watakuwa ugenini dhidi ya AC Monza ambao wanashika nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Roma yupo nafasi ya 10 baada ya kushinda mechi yake iliyopita. Nafasi ya kushinda amepewa mgeni akiwa na ODDS 2.06 kwa 3.72. Nani kushinda leo?. Jisajili hapa.

ACF Fiorentina atakuwa mwenyeji wa AC Milan ambao wapo nafasi ya 5 kwenye msimamo na pointi zake 11, wakati mwenyeji wake akiwa nafasi ya 13 na pointi 7. Mechi ya mwisho kukutana, Milan alishinda. Fiorentina kulipa kisasi leo?. Bei mechi hii.

Unaweza ukabashiri pia mechi za ligi kuu ya BUNDESLIGA ambapo RB Leipzig atakuwa mngeni wa Heidenheim ambao walishinda mechi yao iliyopita. RB yupo nafasi ya 4 akiwa na pointi 11. Bashiri mechi hii yenye ODDS 4.31 kwa 1.71.

Eintracht Frankfurt atakribisha kwake Bayern Munich ambao wametoka kutoa sare mechi yao iliyopita. Mwenyeji yupo nafasi ya pili akiwa amepitwa pointi 1 pekee na Bayern ambao ndio vinara wa ligi. Meridianbet wamempa Kompany nafasi ya kushinda na ODDS 1.50 kwa 5.29. Jisajili hapa.

Pia LIGUE 1 kule Ufaransa itaendelea kama kawaida Olympique Lyon atakichapa dhidi ya FC Nantes ambao wapo nafasi ya 7 wakiwa na pointi zao 9. Lyon anashika nafasi ya 11 na pointi 7 huku nafasi ya kuondoka kifua mbele akipewa mwenyeji na ODDS 1.72 kwa 4.60. Beti yako unampa nani?. Suka jamvi hapa.

OGC Nice uso kwa uso dhidi ya PSG ya Luis Enrique ambao wapo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi. Nice yupo nafasi ya 9 akiwa na pointi nane pekee. Mara ya mwisho kukutana, Paris alishinda. Leo nani kuchukua pointi 3. Suka jamvi lako hapa na ODDS ya 5.29 kwa 1.59.


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini