SIKU YA KUPIGA MSHINDO NA MERIDIANBET NI LEO | ZamotoHabari


JE unataka kupiga mshindo siku ya leo?. Basi ingia kwa wajanja wa ubashiri Tanzania nzima Meridianbet uweze kujikusanyia maokoto ya maana na uweze kutimiza ndoto zako, mechi nyingi sana leo kupigwa.

Unaweza kusuka jamvi mechi za Zambia vs Chad ambapo Meridinabet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 1.29 kwa 9.40. Timu hizi zipo Kundi G mwenyeji akiwa wa pili na mgeni wa mwisho baada ya kutoa sare mechi moja na kupoteza nyingine. Beti yako unampa nani leo?. Jisajili hapa.

Katika Kundi E, Equatorial Guinea ataumana dhidi ya Liberia ambapo timu hizo zote zina pointi moja moja kwenye mechi zao mbili walizocheza. Mara ya mwisho kukutana, Liberia alishinda akiwa nyumbani. Je leo hii Guinea kwa ODDS ya 1.49 kwa 6.07 anaweza kulipa kisasi au atashindwa?. Bashiri hapa.

Pesa ipo nje nje leo kwenye mechi hizi za Mataifa hapa Afrika, ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Muda huo huo Mozambique atapepetana dhidi ya Eswatini ambao wamepoteza mechi zote mbili huku wakishika mkia kwenye Kundi lao. Mwenyeji ndiye kinara wa kundi hilo akiwa na pointi 4 sawa na aliye nafasi ya pili ila tofauti ni magoli tuuh. Mechi iliyopita wlaiyokutana walitoshana nguvu. Nani kuondoka kifua mbele siku ya leo?. Tengeza jamvi hapa kwa ODDS 1.49 kwa 7.05.

Naye Madagscar atakiwasha dhidi ya Gambia ambao walipoteza mechi yao iliyopita. Wote wana pointi moja moja kwenye msimamo hivyo alama 3 za leo ni muhimu kwa kila timu na ndio maana Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.74 kwa 2.60 kwani timu hizi zote yoyote yule anaweza kushinda leo. Jisajili sasa.

Saa moja usiku Uganda atakuwa mwenyeji wa South Sudan ambao hawapewi nafasi ya kushinda mechi ya leo ugenini wakiwa na ODDS 8.03 kwa 1.33. Uganda anahitaji ushindi leo azidi kusalia kileleni katika kundi K. Je mgeni anaweza kuwazuia kina Khalid Aucho kupata ushindi?. Bashiri hapa.

Beti mechi hii ya Nigeria vs Libya ambayo ipo Kundi D, Mgeni anashika mkia ambapo kwenye mechi mbili alizocheza ameambulia pointi moja pekee, wakati mwenyeji yeye akiwa kinara wa kundi hilo na pointi zake 4. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa 2018 ambapo Libya alipasuka akiwa nyumbani. 1.27 kwa 9.60 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi lako hapa.

Baada ya Cameroon kutoa suluhu mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa mwenyeji wa Kenya ambaye alishinda mechi yake iliyopita. Wote wana pointi 4 kwenye ligi huku mechi ya mwisho walipochuana ilikuwa 2010 na Kenya alipoteza mechi hiyo. Je baada ya kupita miaka 14 leo watalipa kisasi?. Meridianbet wamipa mechi hii ODDS 1.47 kwa 7.25. Beti sasa.

Huku Benin atakuwa uso kwa uso dhidi ya Rwanda katika Kundi D ambapo toafuti ya pointi kati yao ikiwa ni moja pekee. Mechi ya mwisho kukutana ilikuwa mwezi June na Rwanda alipoteza. Je leo hii anaweza kulipa kisasi kwa ODDS 3.62 kwa 2.01?. Jisajili hapa.

Saa nne usiku Senegal atakuwa mwenyeji wa Malawi ambao wamechapika mechi zote mbili ambazo wamecheza. Infahamika kuwa Simba wa Teranga wana wachezaji wakubwa sana ambao wana uzoefu wa hali ya juu na ndipo sasa Meridianbet wakaamua wampendelee kushinda mechi ya leo kwa ODDS 1.16 kwa 12.74. Bashiri sasa mechi hii.

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini