Bashiri na Meridianbet Mechi za Leo | ZamotoHabari


Wikendi ndiyo hiyo imefika kibabe kabisa ambapo wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wakikwambia kuwa nafasi ya kuibuka mshindi leo hii ni yako. Ingia kwenye akaunti yako na ubeti sasa.

Ligi kuu ya Hispania, LALIGA leo kuna mtanange mmoja mzito kati ya Rayo Vallecano dhidi ya Las Palmas ambapo tofauti ya pointi kati yao ni pointi 7 pekee na anayepewa nafasi ya kushinda leo hii ni mwenyeji akiwa na ODDS 1.95 kwa 4.50. Mechi ya mwisho kukutana, mwenyeji alipasuka, je leo hii anaweza kulipa kisasi akiwa nyumbani?. Ushindi wako leo unampa nani?. Jisajili hapa.

Wikendi hii odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Kule Ujerumani, BUNDESLIGA kama kawaida Union Berlin baada ya kupigika mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa akisaka pointi 3 dhidi ya Freiburg ambaye alitoa suluhu mchezo wake uliopita. Timu hizi zinafatana kwenye msimamo wa ligi ambapo mwenyeji yeye ni wa 7 na mgeni wake ni 6. Mechi hii imepewa 2.43 kwa 3.05. Bashiri hapa.

Unayo nafasi pia ya kupiga mkwanja na ligi ya Itala, SERIE A kwani hapa kuna mechi ya US Lecce vs Empoli. Ikumbukwe kuwa Lecce ndiye kibonde wa ligi akiwa na pointi 8 pekee akiwa kashinda mechi mbili na kupoteza 7, wakati kwa mgeni yeye yupo nafasi ya 11 akishinda mechi tatu na kupoteza tatu. 2.38 kwa 3.50 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Changa karata zako vizuri kwenye mechi ya Olympique Marseille vs AJ Auxerre kule LIGUE 1 mchezo ambao utapigwa majira ya 4:45 usiku ambapo Meridianbet wamemua kumpa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 1.44 kwa 6.60. Mechi ya mwisho kukutana, mwenyeji alishinda. Je leo hii mgeni kulipa kisasi ugenini. Beti mechi hii.

Kule Saudia pia kuna mechi zinapigwa leo, bingwa mtetezi Al Hilal atamualika kwake Al Ittifaq ambao wapo nafasi ya 11 wakiwa na pointi zao 11. Bingwa mtetezi anahitaji ushindi leo hii akwee pipa hadi kileleni kwenye msimamo wa ligi. Wageni wamepoteza mechi zote walizokutana na Hilal. Je leo wataweza kumzuia mwenyeji kuongoza ligi?. 1.18 kwa 14 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.

Vilevile Al Ahli ya kina Riyad Mahrez wao watamenyana dhidi ya Al Raed ambao hawapewi nafasi ya kuondoka na ushindi leo ugenini wakiwa na ODDS 9.20 kwa 1.28 huku mtanange wa mwisho kuonana, yaani mechi zote mbili za msimu uliopita, hakuna aliyekuwa mbabe kati yao. Jisajili hapa.

Ronaldo na Al Nassr yake wao watakuwa ugenini dhidi ya Al-Riyadh ambao wapo nafasi ya 6 wakiwa na pointi 14, wakati vijana wa Pioli wao wapo nafasi ya 4 na pointi zao 19. Je nani kuondoka kifua mbele leo?. 9.20 kwa 1.26 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri sasa.





Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini