Meridianbet inayo furaha kutangazia kuwa bado shindano la Expanse Slot, linaendelea mpaka Desemba 31, 2024.
Mashindano haya maalum yanapatikana kwa wachezaji wote waliosajiliwa kwenye tovuti na programu ya simu ya Meridianbet. Washiriki wanapata nafasi ya kushiriki michezo ya kuvutia ya slot na kushindania zawadi nono kipindi chote cha mashindano.
Ili kushiriki Mashindano ya Expanse Slot, wachezaji wanapaswa kuwa na akaunti hai kwenye meridianbet.co.tz. Watumiaji wapya wanaweza kusajili akaunti zao kwa urahisi ili kushiriki kwenye tukio hili la kusisimua.
Michezo ambayo itahusishwa kwenye shindano hili la mabingwa ni kama ifuatavyo Book of Eksimo, Book of Egypt, Fortune Farm, Sticky 777, Veni Vidi Vici, Forest Rock, Piggy Party, Battle for the Throne, na Bounty Hunters
Kwa maelezo zaidi kuhusu kanuni na sheria za mashindano haya, tafadhali tembelea ukurasa wa promosheni kwenye tovuti ya Meridianbet.
Ikumbukwe hakutakua na mshindi mmoja tu wa Milioni taslimu kwakua hili ni shindano basi washindi watachukua kitita kama ifuatavyo
Mshindi nafasi ya 1- Tshs 1,000,000
Mshindi nafasi ya 2- Tshs 500,000
Mshindi nafasi ya 3 na 4- Tshs 250,000 kila mmoja
Mshindi nafasi ya 5- Tshs 100,000
Washindi hawataishia watano tu kwani wengine watakua wakipata mizinguko ya bure kwenye michezo mbalimbali ya kasino ambayo watakua wanacheza ambayo itawapa fursa ya kutengeneza maokoto ya kutosha.
Mbali na kucheza michezo mbalimbali ya kasino lakini pia Meridianbet wanakukumbusha usiisahau kubashiri michezo mbalimbali kwani ligi mbalimbali barani ulaya na dunia nzima zinaendelea karibu kila siku.
NB: Jisajiri na Meridianbet upate bonasi kibao na kufurahia ushindi kila dakika unapobashiri michezo mbalimbali ikiwa na odds kubwa.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA
0 Comments