BUTUA NA MERIDIANBET JUMAMOSI YA LEO | ZamotoHabari

  

Jumamosi ya kusaka mapene na wakali wa ubashiri Meridianbet imefika ambapo mechi kibao kuanzia pale Uingereza, mpaka kule Italia zitapigwa. Weka dua ako dogo na ushindi Mamilioni hapa.

Ligi pendwa Duniani EPL, mapema kabisa Newcastle United atamualika kwake AFC Bournemouth ambapo tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 4 pekee huku mechi ya mwisho kukutana walitoshana nguvu. 1.65 kwa 5.20 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri hapa.

Pia naye Liverpool baada ya kutoa sare mechi mbili zilizopita, leo hii atakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya Brentford ambao nao pia walitoa sare mechi yao iliyopita. Arne Slot na vijana wake wanahitaji ushindi hii leo wazidi kusalia kileleni. Je Nyuki watawazuia kushinda?. Mechi hii imepewa ODDS 6.20 kwa 1.45. Jisajili hapa.

Jumamosi ya leo ni kuondoka na ushindi ndani ya Meridianbet kwani odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Wagonga Nyundo wa London West Ham United wataumana dhidi ya Crystal Palace ambapo mgeni anataka kulipa kisasi leo baada ya kupoteza mechi ya mwisho walipoonana. Meridianbet wanampa yoyote ashinde mechi hii kwa ODDS 2.65 kwa 2.65. Wewe unampa nani?. Suka jamvi hapa.

Nao Arsenal watakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Aston Villa ambao mechi ya mkondo wa kwanza waliwafunga. Hivyo vijana wa Unai Emery wanahitaji kulipa kisasi leo pale Emirates ambapo ODDS za mechi hii ni 1.57 kwa 6.40. Beti hapa.

Vilevile SERIE A pale Italia itaendelea ambapo Bologna FC atakiwasha dhidi ya AC Monza ambao ndio vibonde wa ligi hadi sasa wakishinda mechi mbili pekee kati ya 20 ambazo wamecheza. Nani kuondoka na pointi 3 leo?. Suka jamvi mechi hii yenye machaguo zaidi ya 1000.

Juventus ambao mpaka sasa hawajapoteza mechi kwenye ligi watakuwa Allianz kusaka ushindi dhidi ya AC Milan ambao wapo nafasi ya 7. Mechi ya mwisho kukutana Bibi Kizee amepasuka. Nani unamdhamini akupe pesa?. 2.35 kwa 3.30 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.

Katika dimba la Gewiss kutakuwa na mtanange mzito kabisa kati ya Atalanta dhidi ya Napoli ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee huku Meridianbet wakimpa mwenyeji kwa ODDS 2.40 kwa 3.20. Jisajili hapa.

Ligi kuu ya Ujerumani BUNDESLIGA pia kitawaka vilivyo ambapo Bayern Munich atakuwa mwenyeji wa VFL Wolfsburg ambao wanashika nafasi ya 7 wakati vijana wa Kompany wao wapo nafasi ya 1. Je nani kuondoka kifua mbele leo?. Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Bashiri hapa.

Wakati huo huo VFL Bochum atakuwa mwenyeji wa RB Leipzig ambao wametoka kupigika mechi yao iliyopita. Mwenyeji yeye ndio anashika mkia kwenye msimamo wa ligi. Tofauti ya pointi kati yao ni 19. Mechi hii imepewa ODDS 3.70 kwa 2.00. Suka jamvi hapa.

VFB Stuttgart baada ya kupata ushindi mechi yake iliyopita, leo hii atamleta kwake SC Freiburg ambao wapo nafasi ya 8. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 5 huku anayepewa nafasi ya kushinda ni mwenyeji akiwa na ODDS 1.60 kwa 5.20. Beti sasa.

Nao mabingwa watetezi Bayer Leverkusen watakuwa wakisaka pointi 3 nyumbani dhidi ya Borussia Monchengladbach ambao wametoka kupoteza mechi yao iliyopita. Msimu uliopita Alonso alichukua pointi 4. Je msimu huu atachukua ngapi?. 1.28 kwa 11 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

LALIGA kule Hispania pia kuna maokoto ya maana ambapo baada ya Girona kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa mwenyeji wa Sevilla ambao walitoa sare mechi yao iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 5 pekee. Nani unamdhamini akupe ushindi leo?. 1.90 kwa 4.40 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Naye Diego Simeone na vijana wake Atletico Madrid watakuwa ugenini dhidi ya CD Leganes ambao kwenye mechi zao 19 walizocheza wameshinda 4 pekee. Atletico anahitaji ushindi azidi kusalia kileleni. Je wataweza kushinda ugenini leo?. 7.40 kwa 1.53 ndio ODDS zao. Tengeneza jamvi hapa.

Na hapo baadae Getafe watakiwasha dhidi ya FC Barcelona ambao wapo nafasi ya 3. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 15. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili Barca aliondoka na ushindi. Je leo hii vijana wa Hans Flick wataendeleza ubabe?. 6.80 kwa 1.53 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri sasa


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini