IJUMAA ya leo imekuja kivingine ndani ya Meridianbet kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana hapa. Ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea leo. Ingia www. meridianbet.co.tz na ubeti hapa.
Tukianza na ligi kuu ya Ujerumani BUNDESLIGA leo hii kutakuwa na mtanange mzito haswa kati ya Borussia Dortmund vs Bayer Leverkusen ambapo mechi za msimu uliopita zote walizokutana walitoa sare. Tofauti ya pointi kati yao ni 7 pekee huku Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mgeni kwa ODDS 2.48 kwa 2.80. Jisajili hapa.
LALIGA pia inatarajiwa kuendelea leo hii ambapo Rayo Vallecano baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa mwenyeji wa Celta Vigo ambao walishinda mechi yao iliyopita. Mwenyeji yupo nafasi ya 12 na mgeni wake yupo nafasi ya 11 yaani wamefatana kwenye msimamo. ODDS za mechi hii ni 2.80 kwa 2.80. Bashiri hapa.
Huku kule Italia pia SERIE A inaendelea ambapo Lazio Rome baada ya kupigika mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa mwenyeji wa Como 1907 ambao walishinda mechi yao iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 17 pekee. Kila timu inahitaji ushindi leo hii ijiweke kwenye nafasi nzuri ya msimamo. 1.93 kwa 4.20 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
Ibuka bingwa leo hii ndani ya Meridianbet kwani odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Kule Ufaransa pia LIGUE 1 pia inaendelea FC Nantes atakiwasha dhidi ya AS Monaco ambao walipoteza mechi yao iliyopita. Mwenyeji kwenye mechi 16 kashinda 3 pekee huku mgeni wake akishinda 9. Mechi ya mwisho kukutana, Monaco aliibuka bingwa, hivyo leo mwenyeji anataka kulipa kisasi. Je ataweza mbele ya mgeni wake anayeshika nafasi ya 3?. Mechi hii imepewa ODDS 4.70 kwa 1.76. Jisajili hapa.
Na usiku wa saa 5:05, AJ Auxerre atapepetana dhidi ya Lille OSC ambapo mechi ya mwisho waliyokutana walitoa sare. Leo hii kila mtu anahitaji pointi 3 za uhakika huku wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wakimpendelea mgeni kuondoka na pointi 3 kwa ODDS 1.75 kwa 4.70. Bashiri hapa.
Pale Uingereza kama kawaida leo hii kuna mechi mbili za FA CUP ambapo Wycombe Wanderers atakichapa dhidi ya Portsmouth FC huku mwenyeji akiwa anakipiga kule Ligue 1 Uingereza, wakati kwa mgeni yeye yupo Championship. 2.28 kwa 2.95 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.
Mechi nyingine kali ni hii ya Aston Villa vs West Ham United huku timu zote zinashiriki ligi kuu ambapo Villa ya Unai Emery wapo nafasi ya 8 na mgeni wake akiwa nafasi ya 14 hadi sasa. Mechi ya mwisho kukutana Wagonga Nyundo wa London walipoteza mechi. Je leo hii wanaweza kulipa kisasi plae Villa Park?. Tandika jamvi lako mechi hii yenye ODDS 1.80 kwa 3.95.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA
0 Comments