Tusua Kijanja na Meridianbet Leo | ZamotoHabari

 


BAADA ya wikendi kushuhudia mechi kibao zikiendelea kwenye ligi mbalimbali, leo hii pia unaweza kusuka jamvi lako la ushindi hapa. Ingia www.meridianbet.co.tz.

Kama kawaida ligi kuu ya Uingereza EPL itaendelea kwa mchezo mmoja ambapo leo hii, Chelsea atakuwa mwenyeji wa Wolves ambao mechi ya mkondo wa kwanza walipigika vibaya mno. Leo hii Meridianbet wanampa nafasi ya kushinda The Blues ambao wana mechi 5 hawajashinda. Mbwa Mwitu wao 17. Mechi hii ina ODDS 1.42 kwa 6.80. Jisajili hapa.

Pia kule Italia SERIE A inatarajiwa kuendelea ambapo Como 1907 atakiwasha dhidi ya Udinese Calcio ambao walilazimishwa sare mechi yao iliyopita wakiwa nyumbani. Mwenyeji yeye alichezea kichapo akiwa kwake huku leo hii Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.21 kwa 3.70. Suka jamvi hapa.

Anza Wikendi kibabe kwa kubashiri na Meridianbet leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Vilevile Meridianbet inakuambia hivi bashiri mechi ya Villarreal vs RCD Mallorca kule Hispania ambapo tofauti ya pointi kati yao ni magoli ya kufunga na kufungwa huku wote wakiwa na pointi sawa. Mara ya mwisho kukutana, Nyambizi wa Njano walishinda. Je leo hii wageni kulipa kisasi?. Jisajili hapa.

Pale Uturuki SUPER LIG pia kuna mtanange wa kukata na shoka leo ambapo Trabzonspor watakiwasha dhidi ya Sivasspor ambao wapo nafasi ya 15 huku mwenyeji wao akiwa nafasi ya 10. Takwimu zinaonyesha kuwa mara ya mwisho walipokutana, hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. Je leo hii nani kuondoka na pointi 3?. Tengenza jamvi hapa.

Lakini pia unaweza ukabashiri mechi za ligi kuu ya SAUDI ARABIA, AL Feiha atamenyana dhidi ya Al Kholood ambao wapo nafasi ya 12 wakati kwa upande wa mwenyeji wao wapo nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi. Kila timu inahitaji ushindi leo hii ambapo ODDS za mechi hii ni 2.27 kwa 2.90. Bashiri hapa.

Wakati kwa upande wa AL-Raed wao watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya AL-Akhdoud ambao mechi yao iliyopita walipigika huku kwa mwenyeji yeye pia akipigika. Hivyo kila timu inahitaji ushindi leo. Je bashiri yako uaniweka wpai hapa?. 2.80 kwa 2.40 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Mechi nyingine ni hii ya AL-Ittifaq dhidi ya AL-Ahli Saudi ambapo ni sare ya magoli ya magoli iliyopatikana. Mwenyeji yupo nafasi ya 11 kwa nafasi ya 5. Meridianbet wanampa mgeni nafasi ya kushinda kwa ODDS 1.66 kwa 4.50. Wewe beti yako unampa nani?. Jisajili hapa.





Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini