Mechi za UEFA Kukupatia Mkwanja Leo | ZamotoHabari

LIGI ya Mabingwa Ulaya hatua ya Robo Fainali mechi za mkondo wa kwanza kuendelea ambapo tayari wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wakikuekea odds za kibabe. Ingia na ubashiri sasa.

Mechi kali ambayo inatolewa macho na watu wengi ni hii Arsenal dhidi ya Real Madrid mabingwa mara nyingi wa michuano hii, wakichukua Kombe hili mara 15. The Gunners na vijana wake hawajawahi kuchukua kombe hili huku msimu uliopita wakatolewa na Bayern. Kwenye ligi Arteta na vijana wake walitoa sare huku Real wakichapwa.

Arsenal na Madrid mara ya mwisho kukutana kwenye UEFA ilikuwa mwaka 2006 ambapo Real alitolewa baada ya mechi ya kwanza kupigwa na ya pili kutoka suluhu. Ni zamu ya Gunners kufanya chochote leo wakiwa pale Emirates. Meridianbet wamempa mwenyeji kushinda mechi hii kwa ODDS 2.27 kwa 3.33. Je beti yako unampa nani?. Bashiri hapa.

Pesa kumwagika leo mechi za Robo Fainali ya kwanza UEFA. Suka jamvi lako na ubashiri hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.

Mtanange mwingine utakuwa pale Allianz Arena kati ya Bayern Munich vs Inter Milan huku timu hizi zote zikiwa ndiyo vinara kwenye ligi zao. Bayern ambao wananolewa na kocha mkuu Vincent Kompany walitolewa hatua ya Robo Fainali msimu uliopita, huku Inter wao wakitoka hatua ya nusu fainali.

Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho timu hizi mbili kukutana ilikuwa msimu wa 2022/2023 ambapo Inter alipigika mechi zote yaani nyumbani na ugenini. Je leo hii anaweza kuanza kulipa kisasi akiwa ugenini?. Mechi hii imepewa ODDS 2.00 kwa 3.80. Jisajili hapa.

Baada ya kutoa sare kwenye mechi yao ya ligi, sasa FC Barcelona watakuwa tena nyumbani kwenye ligi ya mabingwa kucheza dhidi ya Borussia Dortmund ambao wao walishinda kwenye ligi. Hans Flick na vijana wao wapo kileleni kwenye msimamo wa ligi huku wageni wao wapo nafasi ya 8.

Huku kwenye UEFA leo kila timu inahitaji ushindi huku Meridianbet leo wanampendelea Barca kuondoka na pointi 3 wakimpa ODDS 1.37 kwa 8.60. Wewe unampa nani beti yako akupe ushindi?. Suka jamvi hapa.

Vilevile mabingwa wa ligi kuu ya Ufaransa PSG wao watakuwa na kibarua cha kupepetana dhidi ya Aston Villa ya Uingereza ambao hawapewi nafasi ya kushinda leo wakiwa na ODDS 7.20 kwa 1.40. Paris haijawahi kuchukua kombe hili na mara ya mwisho kucheza fainali ilikuwa ni msimu wa 2019/20 na wakapoteza fainali hiyo. Je msimu huu Luis Enrique ataifikisha wapi hii timu?. Bashiri hapa.



Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini