Kipa Gani Kuibuka Kidedea Taji la Dunia? | ZamotoHabari

MICHUANO mikubwa Duniani inaendelea kuwaka moto huku mpaka sasa zikiwa zimesalia timu 4 pekee zinawania taji hili akiwemo na bingwa mtetezi wa michuano hii. Je nani kuondoka na Glovu ya Dhahabu?

Wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanampa nafasi kubwa Mlinda Mlango wa timu ya Taifa ya Ufaransa Mike Maignan kuchukua tuzo ya golikipa bora kutokana kiwango chake ambacho amekionesha tangu kuanza michuano hii mpaka sasa.

Maignan ambaye ankaipiga kule AC Milan amejijengea sifa kwa kusoma mchezo mapema. Mara nyingi huonekana akitoka kwa wakati sahihi kuzuia hatari kabla haijafika golini, jambo linalowapa mabeki wa Ufaransa kujiamini zaidi wanapokabiliana na washambuliaji wa kiwango cha juu. Lakini pia amefanya save kadhaa ambazo zimekuwa sawa na kufunga mabao kutokana na umuhimu wake kwa matokeo ya timu.

Maignan akiwa kam Nahodha namba 3 wa kikosi hicho kinachoongozwa na kocha mkuu Didier Deschamps anapewa nafasi kubwa ya kuwa golikipa wa mashindano haya akiwa na Odds 2.75. Je wewe unaona kuwa mlinda mlango huyo anaweza kuwa mshindi?. Beti hapa.

Okoto mpunga wa maana leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Nafasi ya pili anapewa Unai Simon ambaye ni Mlinda Mlango wa Hispania na timu ya Athletic Bilbao pia yupo kwenye kinyang’anyiro cha kupigania tuzo hiyo baada ya kuendelea kuonesha kiwango kikubwa kwenye michuano hii.

Golikipa huyo kinachomtofautisha na wengine ni utulivu wake akiwa langoni. Mara nyingi hashawishiki na presha ya washambuliaji, jambo linalomwezesha kufanya maamuzi sahihi hata katika nyakati ngumu za mchezo. Ana uwezo mkubwa wa kusoma mwelekeo wa mashambulizi mapema, hivyo kujipanga vizuri kabla ya mpinzani hajapiga shuti.

Na ni Golikipa ambaye ameweka rekodi kwenye Taji hili la Dunia kwa kutoruhusu kutoruhusu bao kwa dakika 650 mfululizo, rekodi bora zaidi katika historia ya michuano hii kabla ya mfululizo huo kuvunjwa na bao la Charles De Ketelaere kwenye robo fainali dhidi ya Ubelgiji mcgezo ulioisha kwa woa kushinda wa 2-1. Je Unai anaweza akashinda tuzo hii?. Jisajili na ubeti Golikipa huyu kushinda kwa Odds 3.50.

Jordan Pickford wa Uingereza naye yupo kwenye walinda milango wanaowania tuzo hii akiwa kapewa Odds 4.50 na wakali wa ubashiri Meridianbet. Kipa huyo wa Everton ana uwezo wa kuokoa mashuti ya ghafla kutoka karibu na lango kwa ustadi mkubwa. Katika mechi za hatua ya mtoano, ameonyesha uwezo wa kuizuia Uingereza kupoteza mechi kwa kufanya saves muhimu katika nyakati ambazo wapinzani walionekana kuwa na nafasi za wazi za kufunga.

Mbali na uwezo wa kuokoa mipira, Pickford ni mmoja wa makipa bora duniani katika usambazaji wa mpira kwa miguu. Ana uwezo wa kupiga pasi ndefu zenye usahihi mkubwa ambazo mara nyingi huanzisha mashambulizi ya kushtukiza. Uingereza imekuwa ikitumia silaha hii mara kwa mara, huku mipira yake mirefu ikiwafikia washambuliaji kama Harry Kane, Bukayo Saka na Jude Bellingham kwa haraka. Je Pickford anaweza akashinda tuzo ya Golikipa bora?. Suka jamvi hapa.

Na nafasi ya 4 ya kushinda tuzo hii Meridianbet wanampa Emiliano Martinez, golikipa wa timu ya Taifa ya Argentina ambaye amekuwa akifanya vyema kabisa kwenye majukumu yake ya Taifa. Ikumbukwe kuwa Martinez alishinda tuzo hii kwenye Taji la Dunia la 2022 ambapo walichukua Kombe hili. Jisajili hapa.

Kinachomfanya awe bora zaidi ni kwamba anapenda mechi kubwa na mara nyingi huonekana akiwa mtulivu hata timu inaposhambuliwa mfululizo. 5.00 ndio Odds ya Golikipa huyu wa Aston Villa kuchukua tuzo hiyo.

Katika Taji la Dunia 2026, Martínez mwenyewe amekiri kuwa bado hajapata nafasi ya kuonyesha kiwango chake bora kama ilivyokuwa katika mashindano yaliyopita, akieleza kuwa hajalazimika kufanya saves nyingi za kuamua mechi. Hata hivyo, anaamini muda wake wa kung'aa unaweza kufika kadri mashindano yanavyoendelea.

Emiliano Martínez bado ni mmoja wa makipa wanaowania kwa nguvu tuzo ya Golden Glove, si kwa sababu ya saves pekee, bali kutokana na uzoefu wake, utulivu, uongozi na uwezo wa kuamua matokeo katika nyakati muhimu. Je wewe nafasi ya kuchukua tuzo hii unaiweka kwa nani?.

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini