Nani Kwenda Hatua ya 16 Bora Leo? | ZamotoHabari


KAMA kawaida ile michuano mikubwa Duniani imefikia hatua ya 32 ambapo hapa timu zinacheza kufa na kupona, na leo hii ni Uingereza dhidi ya DR Congo huku kila timu ikitaka kuvuka kwenda nafasi ya 16 bora. Je nani kurudi nyumbani leo?

Leo hii Jumatano tutashuhudia mechi ya kibabe ya hatua ya 32 bora kwenye michuano hii mikubwa Duniani ambapo Uingereza atakipiga dhidi ya DR Congo ambao walimaliza kundi lao kwenye nafasi ya 3 baada ya kukusanya pointi 4, huku vijana wa Tuchel wao wakiondoka na pointi 7 wakiwa vinara.

Hii ni mechi ambayo inaenda kuwa ya kuvutia kwa timu zote mbili kutokana na mtindo wao wa uchezaji, lakini haswa viwango ambavyo wachezaji wa timu zote mbili walizoonesha kwenye mechi za hatua ya makundi. DR Congo ni moja ya timu bora sana kutoka Afrika kwani wana uwezo wa kujilinda vyema lakini pia nidhamu kubwa wakiwepo uwanjani.

Timu ya Taifa ya Uingereza wana kikosi cha wachezaji wenye ubora mkubwa kabisa ambapo kule Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi leo. Uwepo wa wachezaji kama Jude Bellingham, Harry Kane, Bukayo Saka, Gordon, Madueke na wengine wengi kunakifanya kikosi hiki kuwa timu penda ya kuondoka na ushindi.

Tengeneza pesa leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Pia timu hiyo ambayo ipo chini ya kocha mkuu Thomas Tuchel wana uwezo mkubwa wa kufanya mashambulizi ya kushtukiza hivyo umakini kwa DR Congo unahitaji uwe wa hali ya juu endapo wanahitaji kusalia kwenye michuano hii.

Kwa upande wa DR Congo pia wana wachezaji wenye ubora kama vile Wissa, Bakambu, Mayele, Masuaku, Wan-Bissaka na wengine wengi ambao kwa pamoja wanaweza wakapambani nafasi ya kusonga mbele kwenye hatua inayofuata ya michuano hii.

Kocha mkuu wa Congo Sebastien Desabre mpaka sasa atakuwa anajua ni mbinu gani atatumia dhidi ya timu hii ambayo ni mabingwa mara 1 wa Taji la Dunia. Je anni unampa nafasi ya kwenda hatua ya 16 bora. Beti hapa.

Siku hiyo hiyo majira ya saa 5:00 usiku kutakuwa na mtanange wa Ubelgiji dhidi ya Senegal ambao ni mabingwa wa Afrika. Vijana hawa Pape Thiaw walimaliza hatua ya makundi kwa kupata pointi 3 pekee baada ya ushindi mnono walioupata kwenye mechi ya mwisho dhidi ya Iraq.

Ubelgiji na wao kwenye Kundi la walimaliza nafasi ya kwanza baada ya kukusanya pointi 5 huku ikiwa ni timu ambayo ina wachezaji wenye uzoefu mkubwa kwenye mashindano haya wakiwemo kina De Bruyne, Lukaku, Trossard, Tielemans na wengine wengi. Lakini pia wachezaji amabo wapo kikosini hapo wana uwezo wa kutumia kasi kubwa, nguvu na kufanya mashambulizi ya hatari kuelekea golini kwa mpinzani.

Senegal ni timu yenye nguvu kubwa na inayojituma kwa kiwango cha juu. Wachezaji kama Sadio Mané, Ismaïla Sarr na Kalidou Koulibaly wanaipa timu hii nguvu katika maeneo yote ya uwanja. Senegal mara nyingi hutegemea mashambulizi ya kushtukiza na uwezo wa kutumia nafasi chache kufunga mabao.

Kwenye mechi hii Ubelgiji inatarajiwa kuwa timu ambayo itamiliki mpira kwa kiasi kikubwa huku vijana wa Thiaw wao wakijilinda zaidi na kushambulia kwa kushtukiza huku wewe ukiwa na nafasi ya kutengeneza pesa siku ya leo na Meridianbet. Ingia kwenye akaunti yako na ubeti sasa.

Je nani kwenda hatua ya 16 bora?. Wakali wa ubashiri Tanzania wanakwambia kuwa tandika jamvi siku ya leo na uondoke na mkwanja hapa. Mechi hii inatarajiwa kuwa ya ushindani mkali, lakini Ubelgiji ina nafasi kidogo ya juu ya kupata ushindi dhidi ya Senegal, ingawa haitakuwa mechi rahisi hata kidogo.



Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini