UFC Fight Night Belgrade Yapewa Nguvu Na Meridianbet | ZamotoHabari

IKIWA ni miaka 25 toka kuanza kufanya kazi kwa kampuni ya ubashiri ya meridianbet, kampuni hiyo imeamua kusherehekea juhudi hizo kwa njia ya kipekee kwa kulidhamini pambano la UFC linalokwenda kwa jina la UFC Fight Night Belgrade ambalo kwa mara ya kwanza linaenda kufanyika nchini Serbia mnamo tarehe 01 mwezi wa 08.

Hii ni alama kubwa kutoka meridianbet, kuwa mdhamini wa pambano hili ambalo linaweka historia kubwa ya kufanyikia Serbia. Kumbukizi ya miaka 25 kweli inaenda kuwa ya kipekee kupitia udhamini huu mkubwa sana.

Akiongea na vyombo vya habari, Mkurugenzi Mtendaji wa Meridian Holdings, William Scott, alielezea jinsi tukio hili linavyotarajiwa kutumika kuisherehekea miaka 25 ya utendaji wa Meridianbet duniani. Ushirikiano wa kampuni hizi mbili kubwa duniani unaonyesha ni kwa namna gani uaminifu baina ya kampuni hizi ulivyo mkubwa kwelikweli. Hii inauthibitishia umma namna gani Meridianbet inavyoweza kuleta thamani kwa wateja wake.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kuelekea pambano hili, Meridianbet inawahakikishia wabashiri wote kwamba pambano hili litakuwepo kwenye jukwaa lake kwa ajili ya ubashiri. Pambano hili litawekewa odds kubwa na za kibabe huku kukiwa na chaguo nyingi sana ili kumpatia kila mbashiri nafasi ya kuchagua kile anachokiamini yeye kitampa ushindi wa uhakika.

UFC Fight Night Belgrade ni fursa kwa kila mbashiri kuwa sehemu ya kihistoria ya ushindi mkubwa kupitia Meridianbet. Unaweka jamvi lako kwenye mpambano huu, unashinda huku ukiweka kumbukumbu ya kuwa bingwa wa mara ya kwanza wa mapambano yanayofanyikia Serbia. Hii ni fursa kubwa ya kujiinua kiuchumi kupitia Meridianbet.

Usikae mbali na simu yako kuelekea tarehe 01 mwezi wa 08, andaa dau lako, jisajili na Meridianbet kwa kufungua akaunti yako na subiri ushindi uingie moja kwa moja kwenye simu yako.


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini