`Mzuka wa Mabingwa Watinga Kumwaga Zawadi Kwa Wabashiri | ZamotoHabari


MERIDIANBET inaendelea kutoa msisimko mkubwa kwa wabashiri kupitia Mzuka wa Mabingwa, kampeni inayowapa wateja nafasi ya kushinda zawadi za thamani huku wakifurahia michezo na kasino. Kupitia promosheni hii maalum kwa watumiaji wa Airtel Money, mashabiki wa kubashiri wanaweza kuingia kwenye ushindani wa zawadi mbalimbali zikiwemo Bajaj, PlayStation 5, Hisense TV, simu janja pamoja na mizunguko ya bure inayotolewa kila siku.

Katika ulimwengu wa michezo, mabingwa hutengenezwa kwa maamuzi sahihi, na Meridianbet imeamua kuwaletea wateja wake nafasi ya kuwa sehemu ya ushindi huo. Kila dau unaloweka la kuanzia TZS 5,000 kupitia Airtel Money linakufungulia mlango wa kushiriki katika promosheni hii ya kipekee.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Mbali na ushindi wa kawaida wa kubashiri, washiriki watapata nafasi ya kushinda mizunguko ya bure 250 kila siku, huku droo za kila wiki zikitoa simu mpya kwa washindi wenye bahati. Kadri promosheni inavyoendelea, zawadi kubwa zaidi kama Bajaj, PlayStation 5 na Hisense TV zitaendelea kuwatafuta washiriki waliothubutu kucheza.

Kwa mashabiki wa soka, tenisi, mpira wa kikapu na michezo mingine, pamoja na wapenzi wa sloti za kasino, hii ni nafasi ya kuongeza msisimko wa burudani na kugeuza kila dau kuwa safari ya ushindi. Meridianbet inaendelea kuthibitisha kuwa ni nyumbani kwa burudani na zawadi kubwa kwa Watanzania.

Usiachwe nyuma. Weka amana kupitia Airtel Money, cheza leo na uruhusu Mzuka wa Mabingwa ukupeleke kwenye ushindi mkubwa zaidi.

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini