Ubelgiji, Ufaransa Kukipiga Uefa Nations League | ZamotoHabari


KARIBU Meridianbet ambapo Kipindi hiki ambacho timu za taifa kutoka maeneo mbalimbali duniani zipo kwenye majukumu yao, kuna michezo mikubwa inayosubiriwa na mashabiki, ikiwemo UEFA Nations League, mechi za kufuzu AFCON 2027 na michezo mingine ya kimataifa Bila kusahau Odds kubwa na machaguzi kibao kwenyekila mchezo.

Timu ya Taifa ya Ubelgiji itakuwa mwenyeji wa Ufaransa katika mchezo wa UEFA Nations League 2026/27, utakaochezwa usiku wa leo Jumatatu, Septemba 28, 2026, katika Uwanja wa King Baudouin, Brussels. Mchezo huo wa Kundi A1 utaanza kutimua vumbi saa 21:45 usiku.

Ubelgiji inaingia kwenye mchezo huo ikiwa imepangwa pamoja na Ufaransa, Italia na Türkiye katika Kundi A1. Timu hiyo chini ya kocha Mark van Bommel imejumuisha nyota kadhaa wenye uzoefu, akiwemo Kevin De Bruyne, Romelu Lukaku, Youri Tielemans, Leandro Trossard na Lois Openda.

Kwa upande wa Ufaransa, mchezo huo utakuwa sehemu ya mwanzo wa enzi mpya chini ya kocha Zinedine Zidane, ambaye amechukua nafasi ya Didier Deschamps. Zidane ameendelea kumtegemea Kylian Mbappé kama nahodha, huku kikosi kikiwa na wachezaji mbalimbali kama Ousmane Dembélé, Michael Olise, Eduardo Camavinga na Ibrahima Konaté.

Ufaransa inaanza kampeni yake kwa mchezo dhidi ya Türkiye Septemba 25, kabla ya kusafiri kwenda Brussels kukutana na Ubelgiji siku tatu baadaye. Kwa Ubelgiji, mchezo huo pia ni wa pili kwenye ratiba ya kundi hilo baada ya kuanza kampeni dhidi ya Italia Septemba 25.

Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Mchezo huu unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na ubora wa wachezaji kutoka pande zote mbili. Ubelgiji itakuwa na faida ya kucheza nyumbani mbele ya mashabiki wake, wakati Ufaransa itatafuta kuonyesha uwezo wake chini ya Zidane katika moja ya michezo yake ya kwanza kwenye mashindano haya.

Kwa ujumla, Ubelgiji na Ufaransa zinakutana katika kipindi muhimu cha hatua ya ligi ya Nations League, huku kila timu ikihitaji matokeo mazuri ili kujiweka katika nafasi nzuri ndani ya Kundi A1. Macho yatakuwa pia kwa Mbappé, De Bruyne na nyota wengine wakubwa ambao wanaweza kuwa na ushawishi mkubwa katika mchezo huo.



Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini