Odds Kubwa Zimefika, Ushindi Unakungoja Sasa | ZamotoHabari


KAMA kawaida zile mechi za Kimataifa bado zinaendelea na tayari kule kwa wakali wa ubashiri Meridianbet wamekuwekea Odds kubwa unazotaka. Unangoja nini sasa?. Ingia na usuka jamvi hapa.

Zile mechi za UEFA Nations League kuendelea siku ya leo ambapo mechi kali ni hii ya Croatia dhidi ya Hispania ambao ndio wanaopewa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi mnono leo.

Croatia anaingia kwenye mchezo huu akiwa na presha kubwa ya kupata matokeo baada ya kupoteza mchezo uliopita kwa mabao 7-0 dhidi ya Uingereza, huku nyuma yake pia akipoteza kwa mabao 4-1 dhidi ya hapo Hispania. Jisajili hapa.

Croatia inaingia kwenye mchezo huu ikiwa na presha kubwa baada ya kupigwa 7-0 na Uingereza, huku siku chache kabla pia ikifungwa 4-1 na Hispania.

Wakati vijana wa Luis de la Fuente kwa upande mwingine wako kwenye kiwango kizuri sana, huku wakiwa wameshinda mechi zao tano za mwisho na tayari wameifunga Croatia kwenye mchezo wa kwanza. Lamine Yamal ndiye mmoja wa silaha kubwa, huku mfumo wao wa kumiliki mpira na kuharakisha mashambulizi ukiwa changamoto kwa Croatia.

Maokoto yapo kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kwa Croatia wachezaji tengemezi ni kama vile, Luka Modrić, Mateo Kovačić na Andrej Kramarić ambao wanahitaji kurejesha utulivu na ushindani wa kiungo, huku safu ya ulinzi ikiwa lazima iwe makini zaidi dhidi ya kasi ya Yamal na wachezaji wa pembeni wa Hispania. Je nani kuhsinda leo?. Beti sasa

Mechi nyingine leo ni hii ya Uingereza dhidi ya Czechia mchezo ambao upo Kundi A, huku vijana wa Thomas Tuchel wakiwa waningia uwanjani wakiwa na morali kubwa baada ya kushinda kwa kishindo mechi iliyopita.

Safu ya ushambuliaji imekuwa na makali, huku Harry Kane, Bukayo Saka, Anthony Gordon na Jude Bellingham wakiwa na uwezo wa kutengeneza nafasi na mabao na hiyo inampa upana zaidi kocha wa timu hiyo kubadilisha wachezaji muda wowote.

Wakati Czechia wao wametoka mepoteza dhidi ya Hispania 3-1 na pia Uingereza iliifunga 2-0 kwenye mchezo wao uliopita, hivyo itahitaji kuwa na nidhamu kubwa hasa kwenye ulinzi. The Lions wanaonekana kuwa na kasi na ubunifu zaidi, lakini Czechia inaweza kusumbua ikiwa itacheza kwa kujilinda kwa mpangilio na kutumia mashambulizi ya kushtukiza.

Je leo hii wanaweza kulipa kisasi mbele ya vijana wa Thomas Tuchel? Odds kubwa zipo kwenye mechi hii, ingia na usuke jamvi hapa.

Vilevile ile michuano ya kufuzu AFCON 2027 kuendelea kwa mchezo mmoja leo ambapo Angola atamenyana dhidi ya Malawi huku tofauti yao mpaka sasa ikiwa ni pointi 2 pekee kwenye msimamo wa Kundi B.

Angola inaingia kwenye mchezo huu ikiwa na pointi moja baada ya sare ya 0-0 dhidi ya Misri, huku ikiwa haijapoteza katika mechi saba kati ya nane zilizopita. Kwa upande mwingine, Malawi ilianza kampeni ya kufuzu AFCON 2027 kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Sudan Kusini, hivyo itakuwa na morali nzuri. Beti sasa.

Hata hivyo, mchezo huu unatarajiwa kuwa wa ushindani na wenye kushambuliana kwa zamu kwani pointi 3 zinahitajika na kila timu ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu kwenye michuano hii.

Malawi imekuwa na changamoto katika ufungaji, huku Angola nayo ikiwa na rekodi ya sare nyingi hivi karibuni. Historia ya mechi hizi pia inaipa Malawi matumaini, kwani imepoteza mchezo mmoja tu kati ya nane zilizopita dhidi ya Angola.

Je nani kuondoka na ushindi siku ya leo?. Ingia pale Meridianbet na ubashiri mechi hii ya kibabe siku ya leo.




Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini