
NDOTO ya kumiliki vifaa cha kisasa kama PlayStation 5 sasa imetimia kwa Christian Mapunda, ambaye amefanikiwa kukomboa zawadi hiyo pamoja na redio ya JBL kupitia Misheni za Meridianbet. Mafanikio haya yanakuja baada ya safari ya zaidi ya mwaka mmoja ya kujikusanyia pointi kupitia programu ya Loyalty. Martin amethibitisha kuwa ndani ya Meridianbet kuna zaidi ya burudani, kwani kupitia Misheni na duka la mtandaoni, pointi zinaweza kutumika kukomboa bidhaa mbalimbali zinazopatikana.
Safari ya Mapunda, imekuwa ya hatua kwa hatua, huku misheni za sloti kutoka Expanse zikichangia kwa kiasi kikubwa mafanikio yake. Kufikia Oktoba 28, 2026, alikuwa amekusanya jumla ya pointi 3,210,619. Kati ya hizo, pointi 3,189,619 zilitokana na misheni za sloti za Expanse, huku nyingine zikipatikana kupitia tiketi za misheni na zawadi maalumu ya kutimiza mwaka mmoja katika Misheni za Meridianbet. Hizi ni pointi nyingi zilizomuwezesha kufikia lengo lake la kukomboa bidhaa alizokuwa akizitamani.
Mbali na idadi kubwa ya pointi alizokusanya, Martin pia amefanikiwa kuwa mwanachama wa daraja la Dhahabu, kiwango cha juu zaidi katika mfumo wa Misheni za Meridianbet. Mfumo huu una madaraja matatu ambayo ni Shaba, Fedha na Dhahabu. Shaba inaanzia pointi 0 hadi 260,000, Fedha ni pointi 260,001 hadi 650,000, huku Dhahabu likianzia pointi 650,001 na kuendelea. Tangu Novemba 11, 2025, Martin amekuwa sehemu ya kundi la wanachama wa daraja la Dhahabu. Hata baada ya kufikisha kiwango cha kukomboa PS5 mwezi Juni 2026, aliendelea kukusanya pointi hadi alipofanikiwa kupata JBL pia.
Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Mafanikio haya yanafungua ukurasa mpya wa msisimko kwa washiriki wa Misheni za Meridianbet. Duka la mtandaoni lina bidhaa mbalimbali zinazoweza kukombolewa kwa pointi, zikiwemo PlayStation 5, JBL, Hisense TV, iPhone na zawadi nyingine nyingi. Hii inakupa nafasi ya kuchagua bidhaa unayoipenda zaidi na kufuatilia mahitaji ya pointi kupitia akaunti yako. Martin amefanikiwa kupata bidhaa mbili, lakini bado kuna zawadi nyingine nyingi za kugundua ndani ya duka hilo.
Je, ni bidhaa gani ungependa kuikomboa kupitia Misheni za Meridianbet? Usibaki nje ya safari hii bila kufahamu namna mfumo wa Misheni na programu ya Loyalty unavyofanya kazi. Tembelea Meridianbet, ingia sehemu ya Misheni na uchunguze duka la mtandaoni ili kuona zawadi zinazopatikana na masharti ya kuzikomboa. Martin Ndunguru tayari amefurahia PS5 na JBL yake, nawe unaweza kuanza kwa kuweka malengo na kufuatilia pointi zako. Jisajili leo uungane na washindi wenzako.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA



0 Comments