
KATIKA ulimwengu wa ubashiri, kila odds ina nafasi yake katika kuongeza msisimko wa mchezo. Meridianbet imekuja na huduma maalum ya Bet Boost, inayowapa wateja wake fursa ya kuongeza ukubwa wa odds kwenye machaguo maalum na hivyo kupata nafasi ya malipo makubwa zaidi endapo ubashiri wao utakuwa sahihi. Hii ni miongoni mwa huduma zinazoweka Meridianbet mbele katika kuendelea kuboresha uzoefu wa wateja wake.
Kupitia Bet Boost, wabashiri wanaweza kunufaika na odds zilizoongezwa thamani tofauti na zile za kawaida. Huduma hii inapatikana katika aina mbili kuu; Bet Boost ya Mchanganyiko, inayohusisha machaguo maalum yaliyopewa odds za ziada, pamoja na Single Boost, inayomwezesha mteja kuchagua tukio moja na kunufaika na odds zilizoongezwa. Kwa wapenzi wa soka na mpira wa kikapu, pia kuna BetBuilder Boost, inayoongeza chaguo zaidi katika uzoefu wao wa ubashiri.
Kutumia huduma hii ni rahisi, lakini kuna masharti muhimu ambayo kila mteja anapaswa kuyafahamu. Hairuhusiwi kuweka zaidi ya Bet Boost moja kutoka tukio moja kwenye tiketi moja, wala kuchanganya Bet Boost na soko la kawaida kwa mechi ileile.
Hata hivyo, unaweza kuunganisha Bet Boost kutoka matukio tofauti. Pia, bonasi ya idadi ya mechi haitumiki kwenye tiketi zenye Bet Boost, huku huduma ya Cashout ikipatikana baada ya mechi zote zenye Bet Boost kwenye tiketi husika kukamilika.
Ni muhimu pia kuelewa namna matokeo yanavyoathiri Bet Boost. Endapo chaguo moja lililoongezewa odds litapoteza, Bet Boost nzima itahesabiwa kuwa imepotea. Ikiwa chaguo moja litaahirishwa huku mengine yakishinda, Bet Boost nzima itaahirishwa; lakini chaguo moja likiahirishwa na mengine yakapoteza, tiketi itahesabiwa kuwa imepotea. Kiwango cha odds zinazoongezwa huamuliwa na Meridianbet na kinaweza kubadilika kulingana na ofa husika.
NB: Meridianbet ukijisajili tu unapata bonasi kibao za kasino ya mtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Huduma ya Bet Boost inapatikana kupitia Meridianbet pekee, kwa wateja wanaotumia tovuti rasmi ya www.meridianbet.co.tz. Hii ni fursa ya kufurahia ubunifu wa ziada katika ubashiri, huku wateja wakikumbushwa kusoma na kuelewa masharti ya ofa kabla ya kuitumia.
Meridianbet pia inahifadhi haki ya kuondoa bonasi au ushindi unaotokana na udanganyifu, matumizi mabaya ya ofa au hitilafu za kiufundi. Meridianbet – odds zilizoboreshwa, msisimko zaidi na uzoefu wa kipekee wa ubashiri.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA



0 Comments