Chadema Yatangaza kushiriki uchaguzi Mdogo

Chama cha Chadema kimetangaza kushiriki kwenye uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni na Siha unaotarajiwa kufanyika Februari 17, 2018.

Salum Mwalim Juma ameteuliwa kugombea jimbo la Kinondoni na Elvis Christopher Mosi ameteuliwa kugombea jimbo la Siha.

Maamuzi hayo yamefikia baada ya Kamati Kuu kufanya kikao kujadili iwapo chama kishiriki au kisishiriki.

The post Chadema Yatangaza kushiriki uchaguzi Mdogo appeared first on Mtembezi.


Sponsored by SOMA ZAIDI

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini