Waziri wa Maji avunja bodi mbili

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe ameivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Arusha (AUWSA) na Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Musoma (MUWASA) kwa kutoridhishwa na utendaji wake.

The post Waziri wa Maji avunja bodi mbili appeared first on Mtembezi.


Sponsored by SOMA ZAIDI

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini