Muigizaji wa Filamu nchini, Aunty Ezekiel ametoa wosia kwa mwanae Cookie jinsi ya kuishi na watu vizuri.
Aunty Ezekiel amueleza mwanae kuwa kila watakampo mnenea maneno juu yake yeye hawatakie heri.
“Wewe ndio Roho yang Cookie @cookieprincessiyobo ….Usikae shingo Upande hawa ndio binaadamu Mwanangu wosia wang ww watakie kheri kwa kila watakalo kunenea juu yako Amin …..,” ameandika Aunty kupitia ukurasa wake wa Intagram.
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments