Makisio ya bajeti ijayo(2018/19) ni trilioni 32.5

Serikali imepanga kukusanya na kutumia trilioni 32.475 kwa mwaka wa fedha ujao wa 2018/2019.

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango ameweka hayo bayana  wakati akiwasilisha makisio hayo kwa wabunge mjini Dodoma jana.

Kwa mujibu wa Waziri Mpango, bajeti ya miradi ya maendeleo inatarajiwa kuongezeka kwa asilimia nane na kufika trilioni 12.007 kutoka trilioni 11.999 zilizopangwa kutumiwa katika mwaka huu wa fedha 2017/18.

The post Makisio ya bajeti ijayo(2018/19) ni trilioni 32.5 appeared first on Mtembezi.


Sponsored by SOMA ZAIDI

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini