Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametoa wiki moja kuanzia jana kwa Mawaziri kufanyia kazi changamoto na maoni yaliyoibuliwa na wafanyabiashara katika mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara.
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments