Video | Audio: Pascal Shija – Wathamani

Anaitwa Pascal Shija ni mwimbaji mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili Tanzania na leo kupitia tovuti yako pendwa nimekusogezea video yake nzuri iitwayo Wathamani ikiwa imeongozwa na director anayefahamika kwa jina la James Minga kutoka studio za Exodus na muziki ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za SBM Production chini ya mikono ya prodyuza anayefahamika kwa jina la Samuel B. Malengo.

Wathamani ni wimbo wa shukrani ambao mtumishi wa Mungu Pascal Shija ameutumia katika kumshukuru Mungu na kuwakumbusha watoto wa Mungu jambo la msingi la kusifu na kumrudishia Bwana wetu Yesu Kristo shukrani kwa yale ambayo amekuwa akitutendea kila wakati katika maisha yetu kwakuwa sisi ni Wathamani na leo kupitia wimbo huu tunamsifu na kumwimbia kwa furaha kwakuwa yeye kwetu ni Wathamani sana.

Nina imani kuwa utapata kubarikiwa baada ya kutazama video hii njema na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakuinua, Ameen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Pascal Shija kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 629 250 114
Facebook: Spirike S Pascal
Instagram: @double.sp(spirike s pascal)
Youtube: Pascal Shija

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

share

The post Video | Audio: Pascal Shija – Wathamani appeared first on Gospo Media.


Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini