Afande Sele afunguka ishu ya kumng’oa ubunge Sugu na Professor J (Audio)

Mkongwe wa muziki nchini Selemani Msindi ‘Afande Sele’ amesema anajipanga kumng’oa Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ katika jimbo la uchaguzi Mbeya mjini mwaka 2020. Afande Sele ambaye alihamia CCM akitoka ACT Wazalendo, ameuambia mtandao wa Habari Leo kwamba, anaona namna Sugu alivyojineemesha na fedha za uongozi huku akiacha jimbo lake halina maendeleo yoyote.

VIDEO:


Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini