Familia ya Kibonde imesema Sara amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani na hadi umauti unamkuta alikuwa amelazwa katika hospitali ya Hindu Mandal.
Sara katika maisha yake ya ndoa na Ephraem Kibonde wamefanikiwa kupata watoto watatu na mwili wake unatarajiwa kuzikwa Ijumaa hii katika makaburi ya Kinondoni.
VIDEO:
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments