Maskini Serengeti Boys...Imeniuma Sana Leo...


Timu ya Vijana ya @serengetiboystz imetolewa katika Mashindano ya kufuzu Mashindano ya CECAFA U-17 AFCON ZONAL QUALIFIER Baada ya kufungwa Goli 3-1 dhidi ya Timu ya Vijana kutoka Uganda katika Mchezo wa Nusu Fainali uliopigwa hii Leo katika Uwanja wa Taifa.

Licha ya Serengeti Boys kutolewa itashiriki Michuano hiyo Mwakani kama Mwenyeji.

Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini