Najiamini na Ndio Maana Nilifanya Maamuzi ya Kumuacha Barnaba;-Mama Steve

Najiamini na Ndio Maana Nilifanya Maamuzi ya Kumuacha Barnaba;-Zuunamela
Mwanadada aliyewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii  mkubwa Tanzania Barnaba classic amefunguka na kusema kuwa watu wengi walikuwa hawaamini kama angeweza kuachana na mzazi mwenzake huyo na ndio maana hata alipofanya maamuzi hayo wengi walikuwa hawaamini kabisa.

Akiulizwa kuhusu swala la mhausiano yake mwanadada huyo alijibu “mimi ni mwanamke ninaejiamini sana kwa sababu watu wengi walikuwa wanajua kuwa mimi siwezi kumuacha na kuanza kusihi maisha yangu”

Zuu ni mwanamke ambae amekuwa na barnaba kwa muda mrefu tangu wakati Barnaba akiwa yuko chini kimuziki lakini kitu cha kushangaza ni kwamba amekuja kumucha kipindi ambacho msanii huyo amekuwa na mafanikio sana katika muziki wake.
Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini