Kufuatia agizo ambalo lilitolewa na Rais Magufuli ambalo limeshaanza kufanyiwa kazi linalohusu serikali huhamia dodoma Baraza la wazee Chadema wameshindwa kulikalia kimya na kulitafakari hatimaye wameleta taarifa ya athari ambazo zinaweza kujitokeza endapo serikali itahamia dodoma.
0 Comments