Mtayarishaji mkongwe wa muziki Master J ambaye pia ni jaji wa shindano la Bongo Star Search (BSS), amejibu mapigo kwa watu ambao wamekuwa wakiisema vibaya kuhusu baadhi ya wasanii wanaotoka kwenye shindano hilo kushindwa kufanya vizuri kwenye soko la muziki kwa muda mrefu.
0 Comments