PROFESA KABUDI: NATAMANI SIMU ZIPIGWE MARUFUKU VYUONI, ZINAWAPOTEZEA MUDA WANAFUNZI
-
Waziri huyo wa Katiba na Sheria ameyasema hayo leo alipokuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya 18 ya Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA).
-
Wanafunzi wamekuwa wakitumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii na si kujisomea mambo ya maana yatakayowasaidia
-
Amesema kuwa anatambua Mwanafunzi anayesomea masomo ya sheria kazi yake ni kusoma katika maisha yake yote ili asipitwe na wakati.
-
Je, una maoni gani?
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments