BASATA wafunguka ishu ya kumfungia Diamond na Rayvanny ‘'Wanaimba Matusi, Wasafi tumewadekeza Hatukuwapa Kibali, hadi leo hajalipa Mil. 9’

BASATA wafunguka ishu ya kumfungia Diamond na Rayvanny ‘wanaimba matusi, Wasafi tumewadekeza hatukuwapa kibali cha Mwanza, hadi leo hajalipa Mil. 9’
BASATA wameongea kwa mara ya kwanza baada ya taarifa yao ya kuwafungia kwa muda wasanii wawili wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na Rayvanny kutotumbuiza kwenye show yoyote kwa muda usiojulikana.

Akiongea na Bongo5, Kaimu Katibu Mtendaji BASATA, Ndg. Onesmo Kayanda amesema kuwa sababu kubwa ni utovu wa nidhamu na maadili.

Amefunguka pia sababu za kufuta kibali cha tamasha la Wasafi Festival 2018.
Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini