Moja ya mashabiki wa Diamond alimshauri Diamond platinumz kuhama nchi mara baada ya taarifa kusambaa kuwa msanii huyo amefungiwa kwa muda usiojulikana kisa kuimba wimbo ambao ulisgakatazwa kutokana na sababu za kimaadili.
hata hivyo ,shabiki huyo alisema kuwa diamond amekuwa moja ya wasanii wanaojitolea sana katika kufanya kila kitu kwa jamii lakini serikali haioni mchango wake hivyo, ni bora kuhama nchini na kuhamia kenya au uganda mabako atakuwa huru kufanya kila kitu anachoweza kufanya.
Alichoandika shabiki kumshauri diamond platinumz.
Baada ya maoni hayo , watu wengine walikuja juu na kusema haiwezekanai kwa sababu yeye amekuwa akisaidia jamii basi avunje sheria za nchi na huku watu wakimuangalia hivyo wamuogope kama mungu mtu.
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments