Breaking News: Basata Yawafungia Daimond na Rayvany Kujihusisha na Muziki

Breaking News: Basata Yawafungia Daimond na Rayvany Kujihusisha na Muziki
Balaza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewafungia wasanii wa muziki wa kizazi kipya Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Raymond Shaban Mwakyusa ‘Rayvan’ kutofanya onyesho lolote ndani na nje ya nchi kwa muda usiojulikana kuanzia leo tarehe 18/12/2018

Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini