Mzazi Mwenzia Chales: Hajawahi Kutoa Matunzo ya Mtoto Mwanangu Namlea Mwenyewe

Mzazi Mwenzia Chales: Hajawahi Kutoa Matunzo ya Mtoto Mwanangu Namlea Mwenyewe
Msanii wa Bongo muvi nchini Husna Sajent, amefunguka kuhusu mzazi mwenzie ambaye pia ni mwimbaji wa Muziki wa dansi Chalse Baba baada ya kufunga ndoa na Mwanamke mwingine hivi karibuni na kusema kuwa hajawahi kumpa matunzo ya mtoto.

Husna ameyasema hayo wakati akipiga stori na chombo kimoja cha habari na kusema kuwa mtoto wake anamlea mwenyewe kabla ya baba yake kuoa na hadi sasa.

"Matunzo mchezo!! mimi Mwanangu namlea mwenyewe anasoma Sunrise namlea kabla hajaoa na hadi sasa" alisema Sajent
Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini