Kocha Jose Mourinho ameondelewa katika nafasi yake ya kuinoa klabu ya Manchester United baada ya kuiona klabu hiyo kwa miaka miwili na nusu
Taarifa ya klabu hiyo inasema "Klabu inapenda kumshukuru Jose kwa kazi yake kwa muda wote aliokuwepo Manchester United na kumtakiwa mafanikio mema kwa siku zijazo
Aliyewahi kuwa nahodha wa klabu hiyo, Michael Carrick anatarajiwa kuchukua nafasi hiyo hadi mwisho wa msimu
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments