Baada ya Mourinho kufungasha virago vyake jana, Mchezaji wa zamani wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer ameteuliwa kuwa kocha wa muda wa klabu hiyo kuziba pengo la Jose Mpourinho, hadi mwisho wa msimu wa 2018/19. Atasaidiwa na Mike Phelan, Michael Carrick na Kieran McKenna.
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments