Diamond ni Mtu wa Kigoma, Sifa Kubwa ya wa Kigoma ni Ma**ya :-Mwijaku


Moja ya wadau wa sanaa nchii na pia muigizaji mwijaku amefunguka na kusema kuwa kwa anavyojua yeye na kwa sifa za watu wa Kigoma ni igumu sana kusema kuwa Diamond anaweza kuoa kwa sababu watu wa kigoma ni malaya..

Akiulizwa ni mwanamke gani kati ya wale aliyowahi kuwa nao Diamond mpaka sasa anaweza kuwa mke wake mwijanku anasema kuwa hawezi kusema itakuwa ni kama anamchagulia mke lakini ukweli ni kuwa ni vigumu sana Diamond kuoa.

Siwezi kumchagulia mke diamond, lakinikwa ninavyojua mimi dimaond ni mtu wa kigoma na sifa kubwa ya watu wa kigoma ni malaya,piga ua garagaza hii ni sifa yao kubwa kwaio mimi dimaond siwezi kumshangaa, na ninakuapia kuwa hata huyu wa sasa hatoolewa na diamond kwa sababu chjaracter za kuoa hazipo vile.

Mwijaku anasema kwa pamoja na kwamba Diamond ametangaza kumuoa mwanamke huyo mwezi february lakini ukweli ni kuwa haweiz kumuoa mwanamke huyo.
Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini