Hakuna Mwanaume Asie Malaya, Namjua Diamond:-Tanasha

Hakuna Mwanaume Asie Malaya, Namjua Diamond:-Tanasha
Mwanadada aliyejizolea umaarufu kubwa kwa sasa kutoka Kenya, Tanasha amefunguka na kusema kuwa watu wengi wamekuwa wakimwambia kuwa Diamond ni malaya na hawezi kumuoa , kwake yeye wala hajali kwa sababu anachojua ni kwamba hakuna mwanaume ambae ni mtulivu kwa mke wake hata mmoja.

Tanasha anasema kuwa alichoamua kwa sasa ni kuolewa na mwanaume anaemfanya ajisikie kuwa yeye ndi mwanamke pekee duniani hata kama ana wanawake wengine basi yeye ili hajali.


Tanasha anasema kuwa , hataki kusikia ushauri kutoka kwa mtu yoyote, na hakuna anemjua Diamond kama anavyomua yeye kwaio watu waache kujiangaisha kuongea mambo ambayo hayana msingi na wala hatokaa hayasikilize.


Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini