Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa muigizaji wa Bongo movie Irene Uwoya. Mwanamama huyo amefunguka mengi kupitia ukurasa wake wa instagram kuhusiana na siku yake hii muhimu.
Asante MUNGU kwakila kitu kwenye maisha yangu...sina chakusema zaidi ,sifa na utukufu narudisha kwako!!!asante baba na mama kwa kunilea...Asante Krish wangu kwa kunipa nguvu kila siku ya kujituma !!!asanteni watu wangu mlionyuma yangu...Asanteni mashabiki zangu kwa kunifanya kuwa Irene...sina chakuwalipa nawapenda sanaaa...pia Asanteni maadui zangu sababu nyinyi pia mnanipa nguvu ya kuendelea mbele na MUNGU awabariki sanaaa chuki zenu ziendelee kuwa baraka kwangu!!!
HAPPY BIRTHDAY LOLO(happy birthday to me)
Sponsored by
ZAMOTO MEDIA
0 Comments