Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifungua kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dar es Salaam leo Desemba 18, 2018
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally akiongea kabla ya ufunguzi wa kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dar es Salaam leo Desemba 18, 2018.
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dar es Salaam leo Desemba 18, 2018
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments