Msanii Mwingine wa Muziki wa Kizazi Kipya Afariki Dunia Kenya

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Kenya, Eliud Sagini maarufu kama Sagini, amefariki dunia muda mchache baada ya kufikishwa hospitali kwaajili ya kupatiwa matibabu. Taarifa za kifo chake zimetolewa na rafiki kipenzi wa msanii huyo, Khaligraph Jones, ambapo aliandika kwenye ukurasa wake wa instagram kuwa kifo chake kimetokea jana Desemba 17 baad ya kuugua kwa muda mfupi. It is with deep sorrow that we announce the sudden passing away of one of Kenya’s greatest and promising talent Eliud Sagini better known to many as Sagini. Sagini left us this evening of Monday the 17th of Dec. 2018 after suffering a short illness. He was pronounced dead after arriving at the hospital. Your prayers and support will Be highly appreciated in this moment of grief. @saginimusic A post shared by Khaligraph jones (@khaligraph_jones) on Dec 17, 2018 at 12:30pm PST Wakati wa uhai wake Sagini ameshafanya kazi mbalimbali za muziki, zikiwemo alizoshirikiana na wasanii wakali kama Khaligraph Jones na rapper Young Killer wa hapa bongo.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Kenya, Eliud Sagini maarufu kama Sagini, amefariki dunia muda mchache baada ya kufikishwa hospitali kwaajili ya kupatiwa matibabu.


Taarifa za kifo chake zimetolewa na rafiki kipenzi wa msanii huyo, Khaligraph Jones, ambapo aliandika kwenye ukurasa wake wa instagram kuwa kifo chake kimetokea jana Desemba 17 baad ya kuugua kwa muda mfupi.



It is with deep sorrow that we announce the sudden passing away of one of Kenya’s greatest and promising talent Eliud Sagini better known to many as Sagini. Sagini left us this evening of Monday the 17th of Dec. 2018 after suffering a short illness. He was pronounced dead after arriving at the hospital. Your prayers and support will Be highly appreciated in this moment of grief. @saginimusic

A post shared by Khaligraph jones (@khaligraph_jones) on Dec 17, 2018 at 12:30pm PST

Wakati wa uhai wake Sagini ameshafanya kazi mbalimbali za muziki, zikiwemo alizoshirikiana na wasanii wakali kama Khaligraph Jones na rapper Young Killer wa hapa bongo.
Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini