Hii Hapa Ratiba ya Mazishi ya Ruge Kuzikwa Kwao Bukoba Jumatatu | ZamotoHabari.

Hii Hapa Ratiba ya Mazishi ya Ruge Kuzikwa Kwao Bukoba Jumatatu
NDUGU Kashasha ambaye ni msemaji wa Familia ya Mutahaba amesema kama mambo yakienda kama yalivyopangwa, mwili wa #RugeMutahaba utawasili jijini Dar es salaam kutokea Afrika Kusini siku ya IJUMAA (March 1/2019).



Ikiwa hivyo wakazi wa Dar es Salaam watatoa heshima za mwisho na kumuaga mpendwa wetu siku ya JUMAMOSI (March 2/2019). .

Baada ya hapo: Familia imeamua kwamba Ruge atakwenda kuzikwa nyumbani kwao huko Bukoba siku ya JUMATATU (March 4/2019) (Jumapili mwili utasafirishwa kwenda Bukoba)
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini