Msanii maarufu nchini Kenya afariki dunia | ZamotoHabari.


Msanii wa Muziki wa Hip hop nchini Kenya Chris Kantai mwenye umri wa miaka 42 amefariki dunia jana katika Hospitali moja mjini Nairobi.

Vyombo vya habari nchini humo vinaeleza kuwa Msanii huyo alilazwa tangu Jumatatu wiki hii na kupokea matibabu kwa muda mfupi.

Gazeti moja limemnukuu mwakilishi wa familia ya msanii huyo Bi Wanjiku Thuku, aliyesema kwamba alifariki kutokana na matatizo ya kupumua.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini