IKIWA ni saa chache baada ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kutangaza kumvua Ubunge, aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema), jana Machi 14, 2019, baada ya kupoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge kufuatia kushindwa kuhudhuria vikao vya mikutano mitatu ya Bunge mfululizo, Nassari amesema kuwa Januari 29, 2019 aliwasiliana na Ofisi ya Spika na kueleza juu ya kushindwa kuhudhuria vikao vya Bunge.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments