BASATA Yampa Adhabu Kali Dudu Baya Yasitisha Usajili Wake | ZamotoHabari.

Baraza la Sanaa la Taifa(BASATA) limesitisha usajili wa Msanii Godfrey Tumaini(Dudubaya),kuanzia jana Alhamisi, 28 Feb 2019 .

Hatua hiyo imechukuliwa baada ya msanii huyo kukamatwa na jeshi la polisi, kutokana na kutoa kauli zisizofaa kwenye mitandao ya kijamii dhidi ya Ruge

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini